Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

CP Kaganda atoa uzoefu polisi jamii Marekani

CP Kaganda Atoa Uzoefu Polisi Jamii Marekani.png CP Kaganda atoa uzoefu polisi jamii Marekani

Thu, 5 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamishna na Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu (CP) Suzan Kaganda amezungumzia uzoefu wa Tanzania katika kutekeleza mpango wa polisi jamii na namna ambavyo wananchi wanashiriki kuimarisha usalama.

Kamishna na Polisi Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu (CP) Suzan Kaganda amezungumzia uzoefu wa Tanzania katika kutekeleza mpango wa polisi jamii na namna ambavyo wananchi wanashiriki kuimarisha usalama. Kaganda amesema suala la amani ni jambo ambalo linatakiwa kushirikisha Jamii ili amani na utulivu wa eneo husika kuimarika. Amesema ushiriki kamili wa wananchi katika ulinzi wa amani husaidia vyombo vya ulinzi kutimiza wajibu wao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live