Menu ›
Habari
Sat, 5 Feb 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anashiriki katika maadhimisho ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikiwa ni miaka 45 tangu kuzaliwa kwa chama hicho. Sherehe hizo zinafanyika Mkoani Mara, leo Februari 05, 2022.