Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bunge limemthibitisha Mpango kuwa Makamu wa Rais (+video)

Video Archive
Tue, 30 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemthibitisha Dr. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa 100%, Wabunge waliopiga kura ni 363 na wote wamepiga kura ya NDIO, hakuna kura iliyoharibika.

Chanzo: millardayo.com