Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking:Rais aliepinduliwa na Jeshi ajitokeza hadharani afunguka (video+)

Video Archive
Sat, 2 Oct 2021 Chanzo: millardayo.com

Rais aliepinduliwa Nchini Guinea, Alpha Conde amejitokeza hadharani na kuzungumza kwa mara ya kwanza.

Hii ni baada ya kuapishwa kwa kiongozi wa kijeshi nchini humo aitwae Kanali Mamady Doumbouya mnamo Octoba 1, 2021 kuwa Rais wa mpito wa taifa hilo.

Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa taarifa kamili unaweza unabonyeza play kufahamu zaidi.

Chanzo: millardayo.com