Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Bodaboda auawa kwa kupigwa risasi, Baba asimulia- VIDEO

Video Archive
Tue, 18 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni Vilio na Simanzi vikitawala nyumbani kwa mzazi wa Eliudi kijuzi ambaye ni kijana wa miaka 28 aliyeuawa kwa kupigwa risasi na wanaodaiwa kuwa walinzi wa kampuni ambao wanalinda maduka ya wafanyabiashara wa Nshamba Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live