Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Balozi Kombo ateuliwa ubunge, apewa uwaziri

Balozi Kombo Ateuliwa Ubunge, Apewa Uwaziri.jpeg Balozi Kombo ateuliwa ubunge, apewa uwaziri

Mon, 22 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Mahmoud Thabit Kombo kuwa Mbunge na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Kabla ya uteuzi huo, Balozi Kombo alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, anachukua nafasi ya January Makamba ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Uteuzi huo umefanyika usiku huu wa leo Jumapili, Julai 21,2024 kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live