Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Baba abaka mtoto wake wa kumzaa "Ni Mwanafunzi darasa la saba"- VIDEO

Video Archive
Mon, 17 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia Jackson Naiko mkazi wa kijiji cha Ndareta wilaya ya Kiteto mkoani Manyara kwa tuhuma za kumbaka mtoto wake wa kumzaa M wanafunzi wa darasa la saba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live