Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

BAVICHA watuma ombi zito kwa Rais Magufuli (+video)

Video Archive
Mon, 12 Mar 2018 Chanzo: bongo5.com

Baraza la Vijana Chadema Taifa ( BAVICHA), kupitia Mwenyekiti wake, Patric Sosopi linamtaka na kumshauri Rais Magufuli kuwafukuza kazi mara moja Mwenyekiti wa Baraza la usalama Jijini Dar es salaam, IGP, Simon Sirro na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba kwa kutochukua hatua kwa matukio yanayoendelea nchini kama utekaji na kupotea watu.

Sosopi ameyasema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa Habari, Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo Kinondoni jijini Dar es salaam.

Chanzo: bongo5.com