Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alichokisema Membe kwa Nape Siku 3 kabla ya Kifo chake (+Video)

Video Archive
Fri, 12 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Mtama Mhe. Nape Nnauye ameeleza namna ambavyo amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Bernard Membe ambaye aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mtama kuanzia Mwaka 2002 - 2015

Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akihojiwa na waandishi wa Habari, ambapo amesema kuwa Marehemu Membe atakumbuka kwa mazuri mengi aliyoitendea nchi

Bernard Membe amefariki dunia leo Mei 12, 2023 katika hospitali ya Kairuki Jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live