Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ajali ya Basi yaua mtoto wa miaka mitatu, yajeruhi 19 (+Video)

Video Archive
Wed, 17 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtoto mdogo wa kike anayekadiriwa kuwa umri wa miaka mitatu hadi minne, Jumwema Charles, amepoteza maisha huku wengine 19 wakiendelea na matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete, kufuatia ajali mbaya ya basi la kampuni ya Happy Nation ambalo lilikuwa likitoka Jijini Dar es Salaam kuelekea mkoa wa Katavi, kugonga lori la kampuni ya Dangote lililokuwa limebeba mifuko ya saruji katika eneo la Pangale wilaya ya Sikonge mkoani Tabora.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live