Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Abood ametoa madawati ya Tsh. Milioni 50 Moro

Video Archive
Mon, 6 Sep 2021 Chanzo: millardayo.com

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ametoa msaada wa Madawati elfu Moja yenye than zaidi ya Shilingi milioni 50 kwa Shule za Msingi zilizopo jimboni humo.

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ametoa msaada wa Madawati elfu Moja yenye than zaidi ya Shilingi milioni 50 kwa Shule za Msingi zilizopo jimboni humo. Akizungumza mara baada ya kukabidhi madawati hayo Mheshimiwa Abood amesema lengo la msaada huo  ni kuunga Mkono Serikali ya awamu ya sita katika kuinua taaluma.

Chanzo: millardayo.com